Categories
Uncategorized

Kiswahili Guide-book For the Set Book KIGOGO.

Mwongozo Wa Kigogo Kiswahili Set Book Guide from Kennedy Liyai

2 replies on “Kiswahili Guide-book For the Set Book KIGOGO.”

KIGOGO –Publisher Pauline Kea Book Review by Margaret Mukabane Otieno {Author: Guidebook for KIGOGO/Mwongozo Wa KIGOGO @ 2018 } It is a well written Swahili play surrounding the lives of Sagamoyo residents led by Majoka, a dictator. His bad leadership style and selfishness sees his office deciding to close down Chapakazi market. This is disastrous because majority of people rely on small businesses they run there. Dr.Tunu (an educated, unemployed woman with a Doctorate in Politics) together with Sudi (a craftsman who trades in wooden curvings at the market) lead the common people to fight for their rights. A spotlight on their cries gets the attention of the International community. An uprising sees Majoka’s reign brought to an end and Tunu promoted to lead the people. The market is re-opened and the voice of the oppressed carrys the day. The writer (Pauline Kea) successfully depicts the can of worms {vices} that fester among leaders in the African continent. Examples include • Misuse of public resources • Use of foreign aid to fund useless projects that do not help the common person but increases their debt burden • Immorality, indiscipline of many leaders • Tribalism, male chauvinism • Dictatorship, hypocrisy There is hope that if the common person stands united, a new society is possible without the chocking vices. Book Review by Margaret Mukabane Otieno (a young upcoming Writer/author)

KIGOGO Tamthilia imeandikwa na Pauline Kea Hakiki ya Kitabu {Book Review} KIGOGO ni Tamthilia inayohusu maisha ya Wanasagamoyo inayoongozwa na Majoka,kiongozi wa jimbo ambaye ni dikteta.Uongozi wake mbaya na ubinafsi unaamua kufunga soko la Chapakazi ambalo ni tegemeo la wafanyabiashara wengi. Tunu {mwanamke aliye na Shahada ya Udaktari katika siasa} na Sudi {fundi wa kuchonga vinyago} wanaibuka kama viongozi wa kina yakhe. Wanaongoza maandamano ambayo yanatetea haki za wanyonge. Hatimaye kilio cha wachochole kinasikika na Jumuia ya mataifa ya nje. Uongozi wa Majoka unaporomoka na Tunu kupewa uongozi. Sauti ya mnyonge inasikika na haki kupatikana hatimaye. Mwandishi {Pauline Kea} amedhihirisha ndwele inayorudisha nyuma bara la Afrika kama:  Kufujwa kwa mali ya umma na viongozi.  Mikopo kutoka nje ambayo inatumiwa kulainisha mifuko ya viongozi.  Ukosefu wa maadili/uasherati.  Ukabila na taasubi ya kiume.  Udikteta {viongozi wanatumia hila,vitisho na nguvu za mabavu} Wengi wape,usipowapa watachukua kwa wingi wa mikono yao. Walala hoi wakisimama kama kitu kimoja,wanaweza kujenga jamii mpya. {Kitabu hiki kitatahiniwa kuanzia 2018-2021 katika Shule za Upili nchini Kenya}. Mhakiki: Margaret Mukabane Otieno {Mwandishi wa Mwongozo wa KIGOGO @2018

Comments are closed.